msaada kwa anaejua

msaada kwa anaejua

utafiti

JF-Expert Member
Joined
Jul 18, 2013
Posts
12,783
Reaction score
7,667
kila lenye faida basi halikosi hasara. naomba kujua kama kuna madhara yeyote ya kula asali (honey) maana hii kitu napenda sana na nakula sana....
natanguliza shukrani
 
Asali grade ya juu ya utamu kuliko sukari ya kawaida ijapokuwa ni nzuri zaidi kwa afya kwasababu ni natural sugar.Asali ina monosacarides(carbohydrates za aina mbili )nazo ni glucose na fructose,vilevile sucorse ,maltose na melzitose.

  • Wingi wa asali unaokula unaongeza sukari kwenye damu(metabolic changes)..Na kuwepo kwa sukari nyingi kwenye damu muda wote inasababisha pancreas yako ifanye kazi ya ziada kuproduce hormoni insulin.Kwasababu hormone hio ndio ufunguo wa kupeleka sukari kutoka kwenye damu kwenda kwenye body cells.Kwa mantiki hio ulaji mwingi wa asali si mzuri vilevile..Too much of anything is harmful!
 
Back
Top Bottom