samubagula
Member
- Jun 24, 2013
- 89
- 4
Habar zenu wanajf naomba msaada kwa anaekijua chuo cha kleruu kipo mkoa gani na wilaya gani?
asante mdau.Kipo Iringa Jimbo la uchaguzi la Iringa-Mjini mtaa wa Kihesa karibu sana na Iringa Girls secondary school na mkabala na kambi la polisi-FFU!
asante nitakaribia!kipo ndan ya manispaa ya iringa si mbali sana na mjini ni mwendo wa dakika 15 kutoka stend kuu na soko kuu la iringa,kama huna mizigo kiukweli huhitaji kupanda daladala....karibu iringa bhana uje ufurahie maisha!!
mbona majanga mabwaku abandugu, bela mnyalukolo wilonga kiki?mtaa wa Kihesa ?????
ooh asante mkuu!bro umekipata chuo cha ukweli nakipata fresh coz nimemaliza tosa boy last year na bro angu kaxoma hapo nw yuko kazini.