Msaada kwa anaekijua chuo cha kleruu

Msaada kwa anaekijua chuo cha kleruu

samubagula

Member
Joined
Jun 24, 2013
Posts
89
Reaction score
4
Habar zenu wanajf naomba msaada kwa anaekijua chuo cha kleruu kipo mkoa gani na wilaya gani?
 
Habar zenu wanajf naomba msaada kwa anaekijua chuo cha kleruu kipo mkoa gani na wilaya gani?

Kipo Iringa Jimbo la uchaguzi la Iringa-Mjini mtaa wa Kihesa karibu sana na Iringa Girls secondary school na mkabala na kambi la polisi-FFU!
 
kipo ndan ya manispaa ya iringa si mbali sana na mjini ni mwendo wa dakika 15 kutoka stend kuu na soko kuu la iringa,kama huna mizigo kiukweli huhitaji kupanda daladala....karibu iringa bhana uje ufurahie maisha!!
 
asante nitakaribia!
 
"Katiba ijayo lazima sasa iondoe kinga kwa marais ili mtu yeyote aweze kumshtaki Rais na hatua za kisheria ziweze kuchukuliwa," Mateo Qaresi (July 2013).
 
bro umekipata chuo cha ukweli nakipata fresh coz nimemaliza tosa boy last year na bro angu kaxoma hapo nw yuko kazini.
 
Back
Top Bottom