msaada kwa anaye ijua shule ya LUGOBA high school

msaada kwa anaye ijua shule ya LUGOBA high school

isiaka6

Member
Joined
May 9, 2013
Posts
67
Reaction score
7
Wakuu naombeni mnifahamishe kuhusu taaluma na manzingira ya shule ya lugoba.na wapi ilipo.
 
hii shule iko chalinze.mazingira yake ni mazuri,ina ubora kwa upande wa comb za arts.
 
hii shule iko chalinze.mazingira yake ni mazuri,ina ubora kwa upande wa comb za arts.
kwa hiyo mkuu upande wa sayansi ni majanga au? na vp kuhusu huduma muhimu kama maji,umeme na vinginevyo?
 
umeme na maji ni vya uhakika na wanafunzi wanauhuru kwan hawafuatiliwi xana.
 
mabweni yako poa.hii shule ni mchanganyiko yaani wavulana na wasichana
 
Lugoba ni bonge la shule.. Kimazngira,, nliwah kwnda kwnye kongamano la pasaka.. Hongera kaka
 
Back
Top Bottom