Msaada kwa anayefahamu API's bora kwa kutoa Livestream za mpira wa miguu

Msaada kwa anayefahamu API's bora kwa kutoa Livestream za mpira wa miguu

Roy Keane

Member
Joined
Oct 29, 2020
Posts
98
Reaction score
204
Nataka kudevelop mobile app ya ku Livestream mpira wa miguu kwa ligi za ulaya. Naomba yoyote mwenye ufahamu wa API's zinazotoa hii huduma anijuze .

Au kama kuna alternative nyingine ningependa pia kusikia.

Chief-Mkwawa et al
 
Cheki codecanyon kuna Grabber kibao za video,
1. Kama unacopy kwa wenzio utahitaji website husika
2. Kama unataka stability itabidi uhost mwenyewe,
3. Kama una link husika unaweza ukatengeneza website then ukatengeneza web wrapper kama app (wabongo wengi wanafanya hivi app zao)
 
Shukran kiongozi , nimefuatilia codecanyon lakini bei hazikuwa rafiki
 
Kwa mwingine yoyote atakayetaka kufanya hii check page ya iptv GitHub kuna api nzuri.
 
Back
Top Bottom