Msafirishaji
JF-Expert Member
- May 28, 2016
- 1,693
- 2,641
Kwenye registration unakua umelipia usajiri wa gari yako ambapo TRA unapewa card ya gari bure ila ww unaeagiza gari unakua unamtuma agent akusaidie kufuatilia hiyo card na kukutengenezea no plate ambapo hiyo huduma kwangu mimi nitakucharge 50k au ukiona huitaji utafuatilia mwnyw tunaipunguza kwny hesabu na ukifuatilia ww inaweza kukuchukua siku3 ila agent anachukua siku moja sababu ya uzoefu.unajumlishaje Registration wakati ukilipa kodi registration unalipia hapo hapo au ndo kuwaibia watu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app