Msafirishaji
JF-Expert Member
- May 28, 2016
- 1,693
- 2,641
Kwenye registration unakua umelipia usajiri wa gari yako ambapo TRA unapewa card ya gari bure ila ww unaeagiza gari unakua unamtuma agent akusaidie kufuatilia hiyo card na kukutengenezea no plate ambapo hiyo huduma kwangu mimi nitakucharge 50k au ukiona huitaji utafuatilia mwnyw tunaipunguza kwny hesabu na ukifuatilia ww inaweza kukuchukua siku3 ila agent anachukua siku moja sababu ya uzoefu.unajumlishaje Registration wakati ukilipa kodi registration unalipia hapo hapo au ndo kuwaibia watu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwanini unapotosha Mkuu Root hebu weka wizi huwa unakuajeKutoa gari bandarini haiwezi fika 750000 hapo kaweka 450000 ya registration hawa mawakala ni wezi wa kuotea mbali
Sent using Jamii Forums mobile app
anayejua bei ya hii gari Toyota Alphard naomba anisaidie please!
naimani humu JF ni sehemu ya kupata jibu sahihi kuliko huko mtaani
| TOTAL TAXES (TSHS): | 9,048,444.94 |
Hakuna Toyota Alphard ya bei hiyo mzee.
Kwa showroom zina range 18-17m.
Na hakuna gari showroom yenye 0km. (kama zipo basi bei yake inakua juu sana)
Gari yenye 0km hiyo ni mpaka ufanye direct importation from the manufacturing (producer) hii Mara nyingi huwa ni special orders.
Hizi za Ku- import from Japan agents ni second hand zote.(used)
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio mkuu, em! Tudadavulie hapo tujue jamaa atakavyotula vichwa.
Anyways.
Kila mtu ashinde mechi zake!