ngosha2011
JF-Expert Member
- Aug 20, 2011
- 681
- 87
hapo kwenye red sijakuelewa, kijana au mtoto?? ulitumia kinga? rudi hosp kajieleze vizuri.Mimi ni mtoto wa kiume nasumbuliwa na ugonjwa ambao siujui,umeanza gafla baada ya kufanya mapenzi na mwanamke flan,natokwa na maji maji meupe kwenye uume,nikikojoa mkojo upo safi tu,nilienda kupima mkojo nikaambiwa nna U.T. I nikapewa dozi ya ciplo na flagil nimetumia lakini bado hali inaendelea,yoyote mwenye kujua au kunisaidia ushauri naomba afanye hivyo
Mkuu Mupirocin Mbona una kuja juu kama moto wa kifuu? Unanisakama kama nini MkuuHii inaitwa Gonorhea mkuu, kwa sasa imekuwa resistant sana kwa antibiotics nyingi sana. Antibiotic ambazo inarespond ni iv ceftriaxone ukichanganya either na doxycycline au clarythromicin. Ila nenda kamwone Dr akuandikie dawa. Au msikilize mzizimkavu na tiba mbadala ili uishie kuwa mgumba. Nakutakia mafanikio mema