ngosha2011
JF-Expert Member
- Aug 20, 2011
- 681
- 87
Mimi ni mtoto wa kiume nasumbuliwa na ugonjwa ambao siujui,umeanza gafla baada ya kufanya mapenzi na mwanamke flan,natokwa na maji maji meupe kwenye uume,nikikojoa mkojo upo safi tu,nilienda kupima mkojo nikaambiwa nna U.T. I nikapewa dozi ya ciplo na flagil nimetumia lakini bado hali inaendelea,yoyote mwenye kujua au kunisaidia ushauri naomba afanye hivyo