Msaada: Kwa anayeijua dawa ya ascaris sugu

Sasa hapo umeichekea minyoo ama antibiotics?
Una alternative ushauri?
Ahhahah[emoji1][emoji1][emoji1][emoji2]
Culture and sensitivity ni kwa bacteria infection only
This man is suffering from helminthic/parasitic/worm infection
 
Umejaribu kutumia mizizi ya mgagani (mboga fulani hivi chungu).
Ponda mizizi uchemshe unywe na nyingine utie kwenye njia ya haja kubwa.
Watoto wadogo hufanyiwa hiyo dawa na akina bibi
inapatikana sana maeneo gani?
 
Zungumza na dr kwa ajili ya kukufanyia culture. Wanachukua sampuli ya kinyesi chako, wanaotesha kwenye media yenye aina tafauti za dawa na kuangalia upande upi watakufa sana.

Pole. Nafikiria uko katika hali gani, dah
Asante ndugu yangu, hali yangu mbaya sana!
 
Umejaribu kutumia mizizi ya mgagani (mboga fulani hivi chungu).
Ponda mizizi uchemshe unywe na nyingine utie kwenye njia ya haja kubwa.
Watoto wadogo hufanyiwa hiyo dawa na akina bibi
inapatikana maeneo gani?
 
47e4d5e558912d8a8688224524203657.jpg
 
Watu wa Mungu,ninasumbuliwa na ascaris lumbricode kwa miaka 7. Nimetumia aina nyingi za dawa za dukani na mitishamba lakini kila u
napomaliza dozi nikipima minyoo iko palepale. nimeonana na madactari bingwa lakini imeshindikana. Na sasa sina cha kufanya, afya inadhoofu, naomba kwa yeyote anayejua dawa kiboko ya kuua hawa wadudu anisaidie.http://
Kunywa gahawa Chungu minyoo kwisha
 
Tumia SECNIDAZOLE 2gm.
 
Back
Top Bottom