Msaada: Kwa anayeijua dawa ya ascaris sugu

Msaada: Kwa anayeijua dawa ya ascaris sugu

Before u quote me nenda kasome pharmacology na Tanzania stg
Kwan pharmacology ndo atajuaTHERAPICAL ya hlo tatzo?? si ataambulia kujua CHEMICAL COMPOSTIONS & ITS EFFECTS (i.e adversely effects, contraindications) to users!.

Mwambie akasome C/O upwards.
1. ACO
2. CO
3. M.D
4. M.MED (aspecialize awe physcian)
ect, na sio pharmacology mkuu!!
 
Mbona unadandia treni kwa mbele!..
Maneno mengi na mapovu yanakutoka!..
Nimetoa ushauri wangu atumie mebendazole then somebody quote me "drug of choice is albendazole "...it's like mebendazole sio drug of choice!!!!
Nikamwambia nenda kajikumbushe pharmacology inasemaje pia angalia na stg!...we vippp
 
Mkuu najua dawa ya kienyegi haizidi hata Tshs 4000 na unapona kabisa .Hata mimi nilikuwa na hiyo minyoo mpaka unaisika inakuja mpaka hapo kwenye nnya na kutaga mayai na kurudi ndani kwenye tumbo ,i is one week treatment , believe me or not .Would you give me a Pm please.
Boss kama upo dar nami naomba msaada 0719 815018
 
Mbona unadandia treni kwa mbele!..
Maneno mengi na mapovu yanakutoka!..
Nimetoa ushauri wangu atumie mebendazole then somebody quote me "drug of choice is albendazole "...it's like mebendazole sio drug of choice!!!!
Nikamwambia nenda kajikumbushe pharmacology inasemaje pia angalia na stg!...we vippp
Mbele ndoo nitaona mbele nakoelekea.

We MTOA MADA AMESEMA ANA ASCARIS SUGU. alaf unamshauri hyo dawa??? Kwan hujui dawa kuna FIRST LINE, SECOND LINE etc

Ascaris ni kundi la HELMITHIS (WORMS) mebendazole ni first line anti-worms (minyoo katika stage ya chini) TAYARI amekwambia yy ni SUGU (CHRONIC HELMINTHIS) so anatakiwa apewe STRONG ANTI-WORM ambapo mebendazole haipo kwenye kundi la strong anti-worms. Kwan ni first line therapy.

"So ni kweli mebendazole co drug of choice in this case"
 
Mkuu angalia utapewa dawa za sleeping sickness hahahahahhhah pole sana
 
Mbele ndoo nitaona mbele nakoelekea.

We MTOA MADA AMESEMA ANA ASCARIS SUGU. alaf unamshauri hyo dawa??? Kwan hujui dawa kuna FIRST LINE, SECOND LINE etc

Ascaris ni kundi la HELMITHIS (WORMS) mebendazole ni first line anti-worms (minyoo katika stage ya chini) TAYARI amekwambia yy ni SUGU (CHRONIC HELMINTHIS) so anatakiwa apewe STRONG ANTI-WORM ambapo mebendazole haipo kwenye kundi la strong anti-worms. Kwan ni first line therapy.

"So ni kweli mebendazole co drug of choice in this case"

Pitia uzi wote!..uone dawa alinitumia
 
Pitia uzi wote!..uone dawa alinitumia
[emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14] hope nae ana busara atafanya maamuzi kulingana na comment alizopata. Coz unauma nakupuliza. We umekemea kuwa kupingwa mebendazole yko "utadhani mebendazole co drugs of choice" issue yng na ww hapa ni Je mebendazole ni choice kwa kesi yke???

Jibu ww unalo na yy atachanganya na za kwake.
 
Watu wa Mungu,ninasumbuliwa na ascaris lumbricode kwa miaka 7. Nimetumia aina nyingi za dawa za dukani na mitishamba lakini kila u
napomaliza dozi nikipima minyoo iko palepale. nimeonana na madactari bingwa lakini imeshindikana. Na sasa sina cha kufanya, afya inadhoofu, naomba kwa yeyote anayejua dawa kiboko ya kuua hawa wadudu anisaidie.http://
Cha msingi pia zingatia sana usafi mkuu (chakula, maji, Mwili mfn kucha, kunawa mikono ukitoka Latrine) etc

Kwan minyooo (worms) huwa kuna uwezekano mkubwa kwa mgonjwa kuwa anajiambukiza mwenyewe. So unakuwa unatumia dawa kumbe wakati huo huo unajiambukiza mwenyewe.

Wakat unamaliza doz LEO tyr umejiambukiza JANA km EGGS (Ova) halaf dawa zina kitu kinaitwa HALF LIFE lifespan ya dawa inafika parasite mitosis inafanyika then ukienda kupima tyr eggs wamefika stage ya LAVA ama ADULTS lazm ukutwa nao.
 
[emoji14] [emoji14] [emoji14] [emoji14] hope nae ana busara atafanya maamuzi kulingana na comment alizopata. Coz unauma nakupuliza. We umekemea kuwa kupingwa mebendazole yko "utadhani mebendazole co drugs of choice" issue yng na ww hapa ni Je mebendazole ni choice kwa kesi yke???

Jibu ww unalo na yy atachanganya na za kwake.

Unaonekana unapenda ligi sana!...
Hata albendazole ameshatumia sana
Ni vema ukapitia thread nzima uone dawa alizitomia kisha ukoment kuliko kuponda wenzio,hatuko hapa kulumbana bali kumsaidia mdau!..
Albendazole alternative drugs mebendazole/piperazine/nitazoxanide....zote hizo zinatibu ascariasis!...
 
Duu!!! [emoji3] [emoji3] [emoji3] we trust bhna umekomaa sna nisome thread nzima!!! [emoji23] [emoji23] Kwenye thread HAJATAJA YEYE ALITUMIA DAWA GANI jamaa amesema amesumbuliwa kwa miaka 7 na kutembea kwa wengi sana. So yy hajasema alitumia dawa gan. So nakuhakikishia thread imeisoma kabla ya kpost.

Anyw anti-worms ni nying sana. Bt it depends on the case of patient.
 
Before u quote me nenda kasome pharmacology na Tanzania stg
Elimu ya tiba is Vast,kuna theoretical and practical,l mean Clinical practice mfano kuna article moja inasema Albendazole (dawa ya minyoo)unaweza kuitumia kwa giadiasis au methotraxate(dawa ya kansa) injection (off-label) kwa mama mwenye ectopic pregnancy,kwa haraka unaweza kupinga ila ukijipa muda wa kusikiliza unapaata elimu, management ya helminth infestation ni one of the cheapest clinical condition to manage,Nakukubalia kabisa nawe Mebendazole is broad antihelminthic agent against Nematodes infestation,iko vizuri sana kwa Trichuris Trichiura pamoja na hao round worms,lakini Albendazole iko poa pia against Ascariasis na pia iko smarter against Strongyloidiasis compare to mebendazole.Chek na past medical history ya mgonjwa wako mzee,Sijasoma sana elimu ya tiba kama wewe labda,ila umetumia nguvu nyingi kushutumu point mbili tu hapo juu as if huwezi kukosolewa.But thanks kwa angalisho.
 
Nenda ufanye curture and sensitivity mwili wa binadamu si wamajaribio ya Dawa. Nenda muhimili kwenye mahabara upate mtaalamu atakusaidia
 
Mkuu najua dawa ya kienyegi haizidi hata Tshs 4000 na unapona kabisa .Hata mimi nilikuwa na hiyo minyoo mpaka unaisika inakuja mpaka hapo kwenye nnya na kutaga mayai na kurudi ndani kwenye tumbo ,i is one week treatment , believe me or not .Would you give me a Pm please.

Kamata fursa twenzetu
 
Kuna chinese tradition medicine inaitwa parashield ni noma kwa hizo vitu. Kaitafute
 
Back
Top Bottom