msaada kwa anayeijua mgugu secondary schoo

msulupwete

Senior Member
Joined
Dec 9, 2013
Posts
155
Reaction score
59
naombeni msaada kuna mtoto wa ndugu yangu kapangiwa mgugu sasa hatujui ipo wapi katika mkoa wa morogoro mwenye ufahamu atujuze
 
naombeni msaada kuna mtoto wa ndugu yangu kapangiwa mgugu sasa hatujui ipo wapi katika mkoa wa morogoro mwenye ufahamu atujuze

Ukitoka moro town panda gar inayoelekea gairo waambie unashuka njia panda ya berega. Ukishuka bodaboda itakupelea kwa dk 10 tu pale sek
 
ukifika mor panda gar ya gairo shuka jiapanda ya berega kuna pkpk utafika ni shule nzuri nilifanya btp pale wakat nasoma diploma dakawa tc.
 
naombeni msaada kuna mtoto wa ndugu yangu kapangiwa mgugu sasa hatujui ipo wapi katika mkoa wa morogoro mwenye ufahamu atujuze

mgugu sec ipo wilaya ya gairo,unapotokea dodoma au moro shuka Njia Panda ya Berega,zaman kulikua na baiskel,bt nadhan now kuna Pikipiki,sijaenda miaka mingi sana,
kwa majengo nzuri,ila kitaaluma,si nzuri saaaana,ni moja ya sehem ya mtoto kukulia
 
Ise hv ninapotoa comment npo ndan ya mgugu mwambie akaribie sn huyo mtoto ukwel n shule nzr kimazingra na hata wanafunzi wake weng n wazur kitaaluma n tofauti kabsa shule za kata inategemea na akili ya mtoto mwenyewe ucogope juu ya kashfa za uchawi n imani 2 ya m2 kama ndivyo uchawi upo kote kote,ni kwe2 panda gar kutoka Dodoma shuka njia panda ya berega boda boda itakupeleka hadi shule,ni mwendo wa dakika 5-10 mshukuru mungu huyo dogo kata bonge la shule na wala c mahala pakukulia kama alvosema huyo mdau wanaililia sn wengne.jana watoto ndo wameanza kuja na leo j pili ndo watakuja wengi kwan wanafungua ijuma 3,pia walimu ni wengi sana wala hakuna uhaba wa walimu kama pindi ya nyuma.
 

Big up kwa kumweleza ukweli maana hao jamaa wanamtisha tu huyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…