msulupwete
Senior Member
- Dec 9, 2013
- 155
- 59
naombeni msaada kuna mtoto wa ndugu yangu kapangiwa mgugu sasa hatujui ipo wapi katika mkoa wa morogoro mwenye ufahamu atujuze
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
naombeni msaada kuna mtoto wa ndugu yangu kapangiwa mgugu sasa hatujui ipo wapi katika mkoa wa morogoro mwenye ufahamu atujuze
naombeni msaada kuna mtoto wa ndugu yangu kapangiwa mgugu sasa hatujui ipo wapi katika mkoa wa morogoro mwenye ufahamu atujuze
ukifika mor panda gar ya gairo shuka jiapanda ya berega kuna pkpk utafika ni shule nzuri nilifanya btp pale wakat nasoma diploma dakawa tc.
Ise hv ninapotoa comment npo ndan ya mgugu mwambie akaribie sn huyo mtoto ukwel n shule nzr kimazingra na hata wanafunzi wake weng n wazur kitaaluma n tofauti kabsa shule za kata inategemea na akili ya mtoto mwenyewe ucogope juu ya kashfa za uchawi n imani 2 ya m2 kama ndivyo uchawi upo kote kote,ni kwe2 panda gar kutoka Dodoma shuka njia panda ya berega boda boda itakupeleka hadi shule,ni mwendo wa dakika 5-10 mshukuru mungu huyo dogo kata bonge la shule na wala c mahala pakukulia kama alvosema huyo mdau wanaililia sn wengne.jana watoto ndo wameanza kuja na leo j pili ndo watakuja wengi kwan wanafungua ijuma 3,pia walimu ni wengi sana wala hakuna uhaba wa walimu kama pindi ya nyuma.