Msaada Kwa anayejua chuo cha lutheran mbeya

Msaada Kwa anayejua chuo cha lutheran mbeya

DullyJr

JF-Expert Member
Joined
Apr 10, 2011
Posts
13,983
Reaction score
11,857
Heshima kwenu wakuu!
Yeyote anayejua chuo cha ualimu mbeya lutheran,
je,bado wanapokea wanafunzi wa cheti?
Kama sivyo chuo gani kingine wanachotoa cheti ukiondoa aggrey ttc?
Na ada zake zipoje?
Nashkuru sana kwa michango yenu
 
Heshima kwenu wakuu! Yeyote anayejua chuo cha ualimu mbeya lutheran, je,bado wanapokea wanafunzi wa cheti? Kama sivyo chuo gani kingine wanachotoa cheti ukiondoa aggrey ttc? Na ada zake zipoje? Nashkuru sana kwa michango yenu

Nenda Enkenford teachers college kipo tanga na ada yake ni mil.1.5 kama utakaa hostel, bado wanapokea ni ww na hela yako tu!
 
Nenda Enkenford teachers college kipo tanga na ada yake ni mil.1.5 kama utakaa hostel, bado wanapokea ni ww na hela yako tu!

nashkuru mkuu ila mm nilitaka huku mbeya au dar!
 
Back
Top Bottom