geniusMe
JF-Expert Member
- Jan 27, 2018
- 1,311
- 1,780
baki nyumbani kwani umelazimishwa.Nonsense!
Yaani mtoto wa masikini afunge safari toka Lindi hadi Mwanza chuoni, aangalie kama amepata mkopo kisha hakose huo mkopo na afunge safari tena kurudi Lindi!