Nonsense!
Yaani mtoto wa masikini afunge safari toka Lindi hadi Mwanza chuoni, aangalie kama amepata mkopo kisha hakose huo mkopo na afunge safari tena kurudi Lindi!
Mkuu punguza jazba utapata tu mkopo ni halali yako kupata usipanik bado batch zipo nyingi mpaka 9 kikubwa kuomba mungu akusaidie katika hilo,
Usikate tamaa niamin nachosema!
Miaka ya nyuma, mimi nilikosa mkopo first year but nikajipa moyo sana nikafanikiwa kuwa mnufaika badae