American nigga
JF-Expert Member
- Aug 8, 2014
- 673
- 974
Kwa mtu yoyote anayejua eneo au ofisi ambazo zimesajiliwa kisheria na zinahusika na ununuzi wa Dhahabu hapa Dar es salam, ninaomba aniPM, na kunijulisha vizuri, juu ya bei ya bei dhahabu sokoni na upatikanaji wa masoko ya Dhahabu hapa Dar es salam.
Hakuna haja ya kuku-pm soko lipo kwa masonara eneo la kisutu karibu na mnara wa saa na wana vipimo vya kupimia kama una zile dhahabu feki za kuweka kwenye vichupa za kutapeli central polisi na walipo hao masonara sio mbali.Hivyo kukufikisha polisi wala hata hawahitaji nauli .
Madalali! madalali hapana ndugu mimi nahitaji eneo la moja kwa moja.Mtaa wa livingistone na udoe wako madalali kibao wa madini.yako ya feki na ya kweli na matapeli pia wapo hapohapo
Hivi wizi wa namna hii bado upo?