Msaada kwa anayejua masoko ya Dhahabu hapa Dar es salaam

American nigga

JF-Expert Member
Joined
Aug 8, 2014
Posts
673
Reaction score
974
Kwa mtu yoyote anayejua eneo au ofisi ambazo zimesajiliwa kisheria na zinahusika na ununuzi wa Dhahabu hapa Dar es salam, ninaomba aniPM, na kunijulisha vizuri, juu ya bei ya bei dhahabu sokoni na upatikanaji wa masoko ya Dhahabu hapa Dar es salam.
 
Hakuna haja ya kuku-pm soko lipo kwa masonara eneo la kisutu karibu na mnara wa saa na wana vipimo vya kupimia kama una zile dhahabu feki za kuweka kwenye vichupa za kutapeli central polisi na walipo hao masonara sio mbali.Hivyo kukufikisha polisi wala hata hawahitaji nauli .
 
Mtaa wa livingistone na udoe wako madalali kibao wa madini.yako ya feki na ya kweli na matapeli pia wapo hapohapo
 
Hakuna haja ya kuku-pm soko lipo kwa masonara eneo la kisutu karibu na mnara wa saa na wana vipimo vya kupimia kama una zile dhahabu feki za kuweka kwenye vichupa za kutapeli central polisi na walipo hao masonara sio mbali.Hivyo kukufikisha polisi wala hata hawahitaji nauli .

Hahaaa nashukuru mkuu asante sana umenisaidia
 
Back
Top Bottom