Joseph Mwaluanda
Member
- Jan 19, 2014
- 15
- 5
Kama uliacha kazi haupatiNenda nssf na docs zako. Hakikisha una barua ya kuachishwa au kuacha kazi.
Duu, hii mpya sasa, kwa mtu anyeacha kazi huwa inakuwaje aise,, hebu niafahamishe,, michango yako yote wanakula wenyewe??Kama uliacha kazi haupati