Joseph Mwaluanda
Member
- Jan 19, 2014
- 15
- 5
Wana JF, nimekuwa nikichangia michango ya Kijamii NSSF kwa muda wa mwaka mmoja wakati nimeajiriwa kwenye Shirika fulani, now nataka kujua kutoka kwenu kama naweza kudai pesa hiyo kwa sasa, mana kuna mtu kaniambia juzi kuwa sheria ya sasa hairuhusu mfanya kazi kuchukua mafao yake hata kama ameacha kazi mpaka atapotimiza umri wa kustafu,, naomba anayejua zaidi anisaidie mawazo. Mana pesa hiyo naipigia hesabu ya kufanya nayo biashara!!