sia mageka
Member
- Apr 19, 2014
- 19
- 4
Na ukipasukia tumboni nayo ni hatar hvy jrb kufanya mamuzi sahihi..mm ulikuwa unatema sum mwilin uso nilikuwa km nimemwagiwa tindikal
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Habari wapendwa.
Nahitaji msaada au ushauri wa kimatibabu kwa yeyote aliwahi kuugua OVARIAN CYST, hata kama hujawahi kupata tatizo hilo ila kuna mtu unaemfahamu aliwahi kusumbuliwa na tatizo hilo akapona, ni hospitali gani au daktari gani mzuri wa ugonjwa huo, its very urgent plz, hata wanaume ambao wanaweza kuwa na msaada karibuni kuchangia
Habari wapendwa.
Nahitaji msaada au ushauri wa kimatibabu kwa yeyote aliwahi kuugua OVARIAN CYST, hata kama hujawahi kupata tatizo hilo ila kuna mtu unaemfahamu aliwahi kusumbuliwa na tatizo hilo akapona, ni hospitali gani au daktari gani mzuri wa ugonjwa huo, its very urgent plz, hata wanaume ambao wanaweza kuwa na msaada karibuni kuchangia
samahan,naomba kujuzwa huu ugonjwa maumivu yake ni during period tu au mda wote?ulijisikiaje mpk ukaenda kupima ukaambiwa una huo ugonjwa?
ni uvimbe unakaa kwe ovary lkn wenyewe unajaa maji mi ilisababishwa na pelvic inflamatory disease ambayo inakua cozd by multiple infections za vagina kama utis,stds n douching my case ilikua douching nkua napenda sanaa kunawa na sabuni za vagina km zle za oriflame etc sasa infection inapanda kwe kizazi ndo kama hvo inatengeneza uvimbe kama huo unajaa maji mine was big lkn ulitubika kwa dawa n as u can see kizazi kiko poa tuu at first nlipanic lkn it wasn a big deal nlitumia dawas na kumonitor kama miez 3 it was gone completely na nmeacha kabisaa kucheza na hko kwe vagina mpk leo wala sjawah kupata hata uti ama yeast infections kwa maswali zaidi tutaonana bdae my 4n is dyn hlf nmesahau charger mbalii
hiki ndo nimefanikiwa kupata kwa my frnd ambaye aliugua huu ugonjwa.. akiwa hewani nitaku pm mamii kwa maelezo zaidi. ugua pole mpz
Duh! Huyu rafikio hajakupa sababu sahihi zinazosababisha cyst! As it has a lot to do with hormones,kama vichocheo vya mwili havijabalance husababisha mayai yasipevuke na matokeo yake ndio huo mkusanyiko wa vivimbe vidogovidogo kny ovary,huwapata pia watu wenye kisukari,uzito mkubwa n.k