clever boy ze don
Member
- Jun 25, 2013
- 65
- 11
kosa moja...goli moja..na kama ulijaza non priority kaz ipo!!! Ila watazirudisha ili mrebishe makosa kwa wale waliokosea...
ndugu zangu naomba msaidie kwan nili2ma hizo fomu pasipo kuweka sahihi na tarehe kwenye sehemu ambayo inasema ka umekubaliana na mashart ya mikopo weka sahihi yako hapo chn na tarehe. Nahofia kunymwa mkopo nifanyeje jaman.
we usijali TCU watatoa majina ya wa2 wenye makosa mbali mbali na kosa kama lako pia.... we jipange 2..coz sometimes itakubidi uende bodi ya mikopo
Pole sana,2011 mdogo wangu pia alisahau kuweka saini yake kwenye form,wakatumia kama kigezo cha kumnyima mkopo,Mungu ni mwema,nikapata kazi nzuri,yuko mwaka wa pili mzumbe namlipia!
Kwa kuwa tunauhitaji mkubwa wa waalimu na wewe umeomba ualimu, wala uctie shaka juu ya hilo bum utapata. Nitumie jina lako ili nikupatie asilimia za kutosha, nafanya kazi hapa Hesleb Msasani!
kwel kaka, nchek kwa 0752340747 sms