msaada kwa anyejua, nilisahau kuweka sahihi na tarehe kwenye fomu za bodi ya mikopo ya elimu ya juu

msaada kwa anyejua, nilisahau kuweka sahihi na tarehe kwenye fomu za bodi ya mikopo ya elimu ya juu

Joined
Jun 25, 2013
Posts
65
Reaction score
11
ndugu zangu naomba msaidie kwan nili2ma hizo fomu pasipo kuweka sahihi na tarehe kwenye sehemu ambayo inasema ka umekubaliana na mashart ya mikopo weka sahihi yako hapo chn na tarehe. Nahofia kunymwa mkopo nifanyeje jaman.
 
Pole hiyo ndiyo imetoka. Fanya sala tu unaweza kupata!
 
Duugh...pole.....umakini ndo kila kitu huku juu....hakuna cha kufanya hapo zaidi ya kusubiria majibu tu
 
Kosa moja...goli moja..na kama ulijaza non priority kaz ipo!!! Ila watazirudisha ili mrebishe makosa kwa wale waliokosea...
 
Pole sana,2011 mdogo wangu pia alisahau kuweka saini yake kwenye form,wakatumia kama kigezo cha kumnyima mkopo,Mungu ni mwema,nikapata kazi nzuri,yuko mwaka wa pili mzumbe namlipia!
 
Nenda board uziombe uzisaini au pakua form nyingine uitume halafu jaribu kuwasiliana wafanye replacement.
 
we usijali TCU watatoa majina ya wa2 wenye makosa mbali mbali na kosa kama lako pia.... we jipange 2..coz sometimes itakubidi uende bodi ya mikopo
 
ndugu zangu naomba msaidie kwan nili2ma hizo fomu pasipo kuweka sahihi na tarehe kwenye sehemu ambayo inasema ka umekubaliana na mashart ya mikopo weka sahihi yako hapo chn na tarehe. Nahofia kunymwa mkopo nifanyeje jaman.

Nafikiri haitakuwa na shida,kwa kuwa mnatuma kwa kutumia EMS ina maana unachotuma ni 'registered letter' ndio maana unapewa 'receipt',kwa hiyo impliedly umekubaliana na masharti ya bodi.
 
Pole sana,2011 mdogo wangu pia alisahau kuweka saini yake kwenye form,wakatumia kama kigezo cha kumnyima mkopo,Mungu ni mwema,nikapata kazi nzuri,yuko mwaka wa pili mzumbe namlipia!

Badae walmpatia au ilikuaje kaka
 
Kwa kuwa tunauhitaji mkubwa wa waalimu na wewe umeomba ualimu, wala uctie shaka juu ya hilo bum utapata. Nitumie jina lako ili nikupatie asilimia za kutosha, nafanya kazi hapa Hesleb Msasani!
 
Kwa kuwa tunauhitaji mkubwa wa waalimu na wewe umeomba ualimu, wala uctie shaka juu ya hilo bum utapata. Nitumie jina lako ili nikupatie asilimia za kutosha, nafanya kazi hapa Hesleb Msasani!

kwel kaka, nchek kwa 0752340747 sms
 
tutatoa majina ya waliokosea so usijali na kosa lako si kubwa
 
Back
Top Bottom