Msaada kwa Bugando na Hurbert Kairuki

Msaada kwa Bugando na Hurbert Kairuki

ESPRESSO COFFEE

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2014
Posts
6,170
Reaction score
7,665
Jamani naomba kuliza kama kuna mtu anajua kama CBG anaweza soma Bsc.nursing katika vyuo vya bugando au hurbert kairuki coz nimejaribu kusoma guide book sijaielewa naombeni msaada kama umeona rafiki ako au ndugu yako kasoma CBG Na kawa selected vyuo hivyo kwa nursing naombeni mnisaidie iwe kwa mwaka huu kama mtu kawa selected hapo kwa nursing pia ningeomba ushauri kati ya vyuo vifuatavyo kipi nimeombe kwa ili niweze kuhamia kwa vigezo vya COMPITISION ITAKUWA NDOGO WAKATI WA TRANSFER NA KAMA CBG ANAWEZA SOMA NURSING HICHO CHUO

1) CUHAS

2)HURBERT

3)KAMPALA

4)ST JOHN

5)UDOM

MASAADA TAFADHARI
 
Nataka kesho nifanye process ya transfer tafadhari nahitaji ushauri wakoo
 
Nataka kesho nifanye process ya transfer tafadhari nahitaji ushauri wakoo

CUHAS bila shaka ulimaanisha MUHAS . kwa CBG huwezi soma nursing degree labda diploma . Sijajua vyuo vingine
 
Udom qualifications unazo ila sasa nafasi zao ni chache
 
Hiyo ni St John
 

Attachments

  • 1411904155494.jpg
    1411904155494.jpg
    58 KB · Views: 118
Back
Top Bottom