Ndugu yangu mwalimu!!! Unajua minimum requrements za mtu kwenda alevo???? Unless uwe unasemea government ila kwa private ni c tatu tu(sijui kama mwaka huu watabadili) mtu umequalify kwenda form5!! Bila kujali una f au d au a kwenye somo lolote!!
Sina hakika kama kwenye taaluma yenu ya ualim wanaruhusu matusi, ila tuchangie tusaidie wenzetu kimawazo nao wafike tulipofika!!