ndupa
JF-Expert Member
- Jan 25, 2008
- 4,403
- 148
Umeni-quote vibaya! Kwa uchumi ni lazima ufaulu hesabu, ila kwa masomo mengine sio lazima ...
Ndugu yangu mwalimu!!! Unajua minimum requrements za mtu kwenda alevo???? Unless uwe unasemea government ila kwa private ni c tatu tu(sijui kama mwaka huu watabadili) mtu umequalify kwenda form5!! Bila kujali una f au d au a kwenye somo lolote!!
Sina hakika kama kwenye taaluma yenu ya ualim wanaruhusu matusi, ila tuchangie tusaidie wenzetu kimawazo nao wafike tulipofika!!