Msaada kwa comb ya HGE

Msaada kwa comb ya HGE

medyzo

Member
Joined
Dec 5, 2013
Posts
86
Reaction score
9
Samahani wakuu mim ni kijana niliye maliza form 4 mwaka jana 2013, sasa ninaipenda comb ya HGE napenda sana kusomea uchumi
Sasa kulingana na matokeo yangu Mathematics nimepata F, vp ninaweza kusoma comb hiyo..?
 
History
Geography
English
Sasa bwana mdogo Mathematics inaingiaje hapo?
 
Kwahiyo ndugu zangu nahitaj msaada kwa hilo!
 
Nasubiria michango yenu wadau! Ndugu wasomi, mbona naona michango ya watu wachache tu!??
 
KAMA SEQUENCE AND SERIES NA STATISTICS ZIMEKUSHINDA ...HUTAWEZA Differentiation and Integration!
 
MIMI NI MWL. WA SHULE MOJAWAPO Tz AMBAYO INA ADVANCED LEVEL TU! SO NAFAHAMU
 
Economics ina hesabu nyingi. kwa A level unaweza kusoma bila shida. Lakini kama utapenda kuendelea nayo ktk level ya chuo kikuu baadaye itakulazimu upende hesabu, ama sivyo utateseka sana.
 
Back
Top Bottom