msaada kwa daktari-ni kuhusu tiba yatatizo la kuto sikia raha wakati wa tendo la ndoa

msaada kwa daktari-ni kuhusu tiba yatatizo la kuto sikia raha wakati wa tendo la ndoa

RUGE12

Member
Joined
Jan 20, 2014
Posts
19
Reaction score
0
habar, nina tatizo la kutojisikia raha pindi nifanyapo tendo la ndoa na ki ukwel limekua ni tendo ambalo limenifanya mpaka niwe mbal na wanawake laweza kua lilisababishwa na historia yangu ya nyuma ya kujichua so tafadhar nilikua naomba ushauri kuhusu tiba na namna ya kulikabiri tatizo hili,ahsanteni
 
Raha ya mechi bao unataka kuniambia bao halitoki ukipiga game? Dushelele vp ina nguvu au mpaka ui-boost?
 
Pole sana, ungekua ni mwanamke ningekuelekeza jinsi ya kuita utamu
 
Daaa tumsaidieni jaman braza namuonea huruma sana hali hii
 
Umewahi kupata raha kipindi cha nyuma au hujawahi? Nakama hiyo ndo kawaida yako umejuaje kama kuna raha zaidi ya hiyo?
 
Back
Top Bottom