Msaada kwa Daktari wa watoto

Msaada kwa Daktari wa watoto

Inaonekana kama inflammation, inawezekana mtoto akawa na allergy na kitu, ikiwezekana pata steroid cream, lakini kabla hujanunua umweleze pharmacist umri wa mtoto.
 
Pole ndugu upo wapi?Kama ni dar jaribu kwenda kwa Dr.Kubhoja ni wa muhimbili, lakini anapatikana TMJ jioni.
 
Warts unlikely herpes may be, jambo zuri ni kwenda kwa Dr Kubhoja italeta maana amuone au hata Doctors Plaza Kinondoni morocco kuna dr Pius anapatikana jumamosi asubuhi.
 
Asanteni kwa ushauri wenu na hakika nitaufanyia kazi kesho tu tukijaaliwa uzima
 
Back
Top Bottom