Msaada kwa Ephrahimu Kibonde

Msaada kwa Ephrahimu Kibonde

bulama

JF-Expert Member
Joined
Dec 13, 2012
Posts
561
Reaction score
135
'Royalty' inatamkwa hivi [TABLE="class: corpus"]
[TR="class: headerRow"]
[TD="class: headerArea"][/TD]
[/TR]
[TR="class: defBody"]
[TD="class: txtArea"]roy·al·ty [róy əltee] [USA] au 'rȯi(-&#601😉l-tē (britain)
(plural roy·al·ties) noun

[TD="class: DEFINITION, width: 17"][/TD]
[TD="class: DEFINITION"]Maana yake ulipatia kwa ulichotaka kumaanisha. Ila matamshi ninajua mwalimu wako wa phonology atakuwa amekunja sura sasa tamka tena ili umuondolee makunyanzi mwalimu wako.


[/TD]

[TD="class: DEFINITION, width: 17"] '[/TD]
[TD="class: DEFINITION"] mining company's payment to landowner: money paid to a landowner by a company taking minerals, oil, or gas from his or her land ( often used in the plural )'


Usirudie kutamka 'Royaliti' hili siyo la kingereza[/TD]


[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
Tulishakubaliana hapa ndani kuwa huyu kibonde hapaswi kujadiliwa hapa. Hana umuhimu wowote katika hii nchi. Labda familia yake. Lakini hata hapo kazini kwake Clouds, watangazaji wenzake wanamuona kama mr.porojo. Mjadala ufungwe, baada ya kusema hayo machache.
 
Mkuu Buluma.

Huyu half minded, pathetic, ignorant na domo vuvuzela, tulishasema tusimjadili. Kwanza ana fungus wengi kichwani wanaomfanya afanye hayo anayoyafanya...
 
Unajua REDIO CLAUDS imepenyeza sana kwa sasa mpaka mikoani. Tusipo mwambia akajirekebisha atapotosha wengi
 
Back
Top Bottom