Rutunga M JF-Expert Member Joined Mar 16, 2009 Posts 1,769 Reaction score 1,390 Mar 30, 2011 #1 Computer yangu imekwama katika internet lakini nilipocheki kwenye ethernet controller inaonesha haifanyi kazi. nikijaribu ku update kwa kutafuta ethenet co nyingine kwa kupitia computer nyingine nashindwa nijuze nifanyeje
Computer yangu imekwama katika internet lakini nilipocheki kwenye ethernet controller inaonesha haifanyi kazi. nikijaribu ku update kwa kutafuta ethenet co nyingine kwa kupitia computer nyingine nashindwa nijuze nifanyeje
Kalunguine JF-Expert Member Joined Jul 27, 2010 Posts 2,543 Reaction score 134 Mar 31, 2011 #2 "COMPUTER YANGU" ndo specifications ?
Donnie Charlie JF-Expert Member Joined Sep 16, 2009 Posts 16,908 Reaction score 19,123 Mar 31, 2011 #3 kwanza eleza ni desktop au laptop then ni model gani uli upate msaada wa kueleweka, Inaweza kuwa network card imekufa au drivers ndio tatizo.
kwanza eleza ni desktop au laptop then ni model gani uli upate msaada wa kueleweka, Inaweza kuwa network card imekufa au drivers ndio tatizo.
S Spear_ JF-Expert Member Joined Dec 29, 2010 Posts 1,615 Reaction score 545 Mar 31, 2011 #4 Rutunga M said: Computer yangu imekwama katika internet lakini nilipocheki kwenye ethernet controller inaonesha haifanyi kazi. nikijaribu ku update kwa kutafuta ethenet co nyingine kwa kupitia computer nyingine nashindwa nijuze nifanyeje Click to expand... uliicheck namna gani? ulijuaje haifanyi kazi? is it hardware issu or software issue? weka mambo wazi
Rutunga M said: Computer yangu imekwama katika internet lakini nilipocheki kwenye ethernet controller inaonesha haifanyi kazi. nikijaribu ku update kwa kutafuta ethenet co nyingine kwa kupitia computer nyingine nashindwa nijuze nifanyeje Click to expand... uliicheck namna gani? ulijuaje haifanyi kazi? is it hardware issu or software issue? weka mambo wazi