Msaada kwa -ethernet controller

Msaada kwa -ethernet controller

Rutunga M

JF-Expert Member
Joined
Mar 16, 2009
Posts
1,769
Reaction score
1,390
Computer yangu imekwama katika internet lakini nilipocheki kwenye ethernet controller inaonesha haifanyi kazi.

nikijaribu ku update kwa kutafuta ethenet co nyingine kwa kupitia computer nyingine nashindwa

nijuze nifanyeje
 
kwanza eleza ni desktop au laptop then ni model gani uli upate msaada wa kueleweka, Inaweza kuwa network card imekufa au drivers ndio tatizo.
 
Computer yangu imekwama katika internet lakini nilipocheki kwenye ethernet controller inaonesha haifanyi kazi.

nikijaribu ku update kwa kutafuta ethenet co nyingine kwa kupitia computer nyingine nashindwa

nijuze nifanyeje

uliicheck namna gani? ulijuaje haifanyi kazi? is it hardware issu or software issue? weka mambo wazi
 
Back
Top Bottom