Ahsante mkuu..
Hii Ndo mana kamili Ya JF..
Mh!!! Doubt..
hakuna kozi dunian inayoweza kumsaidia mtu kujiajil bila yeye kuamua.ingekuwa hvyo,wote waliosoma busnes admin wangekuwa ni wafanyabiashara wakubwa
nunua busines accounting 1*frank wood,pia piga pind ,uckoxe mapind.usikalili elewa concept zake mpango mzma.alafu ukielewa kanuni ya dr na cr na asset =liabilities kwa msing wa kitabu hicho,we noma.kwa maswal na kanuni zaid uta ni pm ntakupa principle ndogo tu ya account
Sio ngumu kiasi hicho. Lkn cha msingi ni kuwa updated muda wote na kinachoendelea kufundishwa lkn pia mm binafsi nlikuwa nasolve saana maswali tofaut tofaut usiwe mzembe we fanya swali ukishindwa tafuta watu watakusaidia mwisho wa siku utaona ni rahisi kwako....!!! Ni hayo tu.