Msaada kwa Expert wa ACCOUNTING

Msaada kwa Expert wa ACCOUNTING

Glisten

JF-Expert Member
Joined
Jun 16, 2013
Posts
301
Reaction score
22
Jamani naomba kujua kama Faculty hii ni ngumu kwa wale ambao hatujasoma Book keepng Olevel wala Adv level.. Kuna ugumu wowote kuikwaa faculty hii..
2po IFM pamoja..
 
hapana. Kwan unapoaza kusoma mnaanza what is accounting? Kwa hyo usiogope
 
Zingatia pindi zote na concept zote ukitega umekomaa!!,utataabika ofcz maana huwez jilinganisha na mwenye foundation ya chini japo mnaanza upya.

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
Its my Destiny..
 
Hakuna somo rahisi wala gumu bidii na kujtuma ndo sir ya kufaulu shule haidanganyi matokeo yanaongea ukwel..
 
ni rahisi sana hii kozi,ila ukimaliza utabeba bahasha zako mpaka ukome,ila km unataka kujiajiri mwenyewe iko poa sana
 
Bonge la Ushauri.. Poa sana Mkuu..
 
Sio ngumu kiasi hicho. Lkn cha msingi ni kuwa updated muda wote na kinachoendelea kufundishwa lkn pia mm binafsi nlikuwa nasolve saana maswali tofaut tofaut usiwe mzembe we fanya swali ukishindwa tafuta watu watakusaidia mwisho wa siku utaona ni rahisi kwako....!!! Ni hayo tu.
 
nunua busines accounting 1*frank wood,pia piga pind ,uckoxe mapind.usikalili elewa concept zake mpango mzma.alafu ukielewa kanuni ya dr na cr na asset =liabilities kwa msing wa kitabu hicho,we noma.kwa maswal na kanuni zaid uta ni pm ntakupa principle ndogo tu ya account
 
hakuna kozi dunian inayoweza kumsaidia mtu kujiajil bila yeye kuamua.ingekuwa hvyo,wote waliosoma busnes admin wangekuwa ni wafanyabiashara wakubwa
 
kila kitu ni kuamua tu kimsingi we komaa sana sababu foundation huna ya account inabidi uwe na material zote pia uyafute rafiki aliyesoma account.hapo utafurahi na roho yako
 
nunua busines accounting 1*frank wood,pia piga pind ,uckoxe mapind.usikalili elewa concept zake mpango mzma.alafu ukielewa kanuni ya dr na cr na asset =liabilities kwa msing wa kitabu hicho,we noma.kwa maswal na kanuni zaid uta ni pm ntakupa principle ndogo tu ya account

Thankz Mkuu.. Appreciated..
 
Sio ngumu kiasi hicho. Lkn cha msingi ni kuwa updated muda wote na kinachoendelea kufundishwa lkn pia mm binafsi nlikuwa nasolve saana maswali tofaut tofaut usiwe mzembe we fanya swali ukishindwa tafuta watu watakusaidia mwisho wa siku utaona ni rahisi kwako....!!! Ni hayo tu.

Poa Mkuu.. Ntajitahidi sana..
Bookz nzur kama unafahamu ingekuw Poa.. Nijikoki.!
 
Back
Top Bottom