Msaada kwa Expert wa ACCOUNTING

Experts kwenye BOOKS vp!.. Nisaidieni..nataka kununua books kadha
 
Poa Mkuu.. Ntajitahidi sana..
Bookz nzur kama unafahamu ingekuw Poa.. Nijikoki.!

vitabu vya mcing ni busines accounting 1 aka frank wood.unaweza kukisoma hata mwenyewe ukielekezwa kidogo tu,au kama unaelewa haraka.mimi nilijifunza mwenyewe tu.hich kitabu ni cha lazma kama unataka msing
 
Kama umeenda kusoma accounting ifm tafuta classmate anayejua awe anakupiga pindi ukitegemea walimu ifm utatoka chaka, mimi nimemaliza pale nimeona wa2 wasiojua wanavohaha!
 
Kama umeenda kusoma accounting ifm tafuta classmate anayejua awe anakupiga pindi ukitegemea walimu ifm utatoka chaka, mimi nimemaliza pale nimeona wa2 wasiojua wanavohaha!

Sounds Fantastics..
 
Jamani naomba kujua kama Faculty hii ni ngumu kwa wale ambao hatujasoma Book keepng Olevel wala Adv level.. Kuna ugumu wowote kuikwaa faculty hii..
2po IFM pamoja..

fanya uchunguzi kwanza kabla hujatupia thread hapa joh kuna thread kama hii nishatupia hapa joh.........any way tupo pamoja ifm joh
 
Swal hapa..
Ulazima wa laptop na kikokotozi...via accounts experts.!!!
 
Jamani naomba kujua kama Faculty hii ni ngumu kwa wale ambao hatujasoma Book keepng Olevel wala Adv level.. Kuna ugumu wowote kuikwaa faculty hii..
2po IFM pamoja..

Hakuna ugumu wowote, kikubwa ni kusoma kwa bidii na kuwabana wale ambao wamesoma ECA kwa sababu kwao 1st year huwa inakua rahisi. Baada ya hapo wote mtakua karibu sawa, usikatishwe tamaa na wale watakaokua wanaona vitu vyepesi kwa sababu walishaviona wakiwa sekondari, jipe moyo mwisho wa siku mtafanana.
 

Thankz u left mark in my head..
 
Penye nia pana njia! Jitihada tu inahitajika....hata kama urafiki wako na hesabu (arithmetics) ni wa mashaka si issue sana!
 
ha ha nacheka sana eti frankwood?wewe dogo tafuta past papers na vitabu watakavouza walimu esp mama tuli na mabonesho.Nakuhusia kuwa karibu na wanaojua solve maswali.Account ya first semester ni introduction tu hata second hamna jipya.kimbembe mwaka wa 2 na watatu utakapokutana na kina mulamula na zawadi.Solve sana.Simple kikubwa hakuna swali jipya kwenye accntng yanabadilika majina like
amu companies then ikaja utajiju companies namba zile zile concepts zile.Hakuna swali jipya kwa acnting usisahau kusolve nbaa exams wanatoa humohumo.Usikate tamaa
 
afu sikuwahi soma booking wala eca hata siku moja japo advance nlipiga egm chuo accnt na nlimaliza japo Ng'eni na Sinde walinishika ila nilimaliza safi kabisa.Take it from me kusoma b.keeping havina uhusiano
 

hahha thanks sana mkuu:A S-confused1:
 
mwambien n ajira akitoka kwenye iyo taasisi
 

We unamuelekeza jinsi ya kujiandaa ni mitihani ya IFM, Muelekeze aje kuwa expert ajifunze concept and principles hata akija kujiunga NBAA for CPA iwe rahisi kwa sababu aliyasoma mambo na kuyaelewa... hope hapo umenipata
 
ushauri wamekupa mzuri ila ECA ambayo sio butu lazima first clas au upper second
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…