Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Poa Mkuu.. Ntajitahidi sana..
Bookz nzur kama unafahamu ingekuw Poa.. Nijikoki.!
Jamani naomba kujua kama Faculty hii ni ngumu kwa wale ambao hatujasoma Book keepng Olevel wala Adv level.. Kuna ugumu wowote kuikwaa faculty hii..
2po IFM pamoja..

Hakuna ugumu wowote, kikubwa ni kusoma kwa bidii na kuwabana wale ambao wamesoma ECA kwa sababu kwao 1st year huwa inakua rahisi. Baada ya hapo wote mtakua karibu sawa, usikatishwe tamaa na wale watakaokua wanaona vitu vyepesi kwa sababu walishaviona wakiwa sekondari, jipe moyo mwisho wa siku mtafanana.
ha ha nacheka sana eti frankwood?wewe dogo tafuta past papers na vitabu watakavouza walimu esp mama tuli na mabonesho.Nakuhusia kuwa karibu na wanaojua solve maswali.Account ya first semester ni introduction tu hata second hamna jipya.kimbembe mwaka wa 2 na watatu utakapokutana na kina mulamula na zawadi.Solve sana.Simple kikubwa hakuna swali jipya kwenye accntng yanabadilika majina like
amu companies then ikaja utajiju companies namba zile zile concepts zile.Hakuna swali jipya kwa acnting usisahau kusolve nbaa exams wanatoa humohumo.Usikate tamaa
Experts kwenye BOOKS vp!.. Nisaidieni..nataka kununua books kadha
hakuna kozi dunian inayoweza kumsaidia mtu kujiajil bila yeye kuamua.ingekuwa hvyo,wote waliosoma busnes admin wangekuwa ni wafanyabiashara wakubwa