Msaada kwa Expert wa ACCOUNTING

MZUMBE,MUCCoBS,UDSM,UDOM,IFM,SAUT,KIU,TIA,TIA,IAA,ST.JOHN, Kila chuo kina uhasibu hauna dilii
 
Swal hapa..
Ulazima wa laptop na kikokotozi...via accounts experts.!!!

Jomba hii! Vitu lazima f 991na PC cause kila semista una kozi 6 nyingine ku Google is must 😉🙁:sly:
 
Fuata ushauri wa wadau lakin kubwa zaidi kazana kusoma acha usela,sali sana pia
 

Good answer,nikweli kabisa ni wewe tu juhudi,na inawezekana ukawa fiti hata aliyekuwa na msingi wa accounts
 
Jamani naomba kujua kama Faculty hii ni ngumu kwa wale ambao hatujasoma Book keepng Olevel wala Adv level.. Kuna ugumu wowote kuikwaa faculty hii..
2po IFM pamoja..


Just report IFM with one principle which says "Every debit entry must have a corresponding credit entry and vice-versa"
 
Good answer,nikweli kabisa ni wewe tu juhudi,na inawezekana ukawa fiti hata aliyekuwa na msingi wa accounts

unamuongopea may b coz pale wastan wa ngombe kaz kula nyasi kutoa maziwa
 
We unamuelekeza jinsi ya kujiandaa ni mitihani ya IFM, Muelekeze aje kuwa expert ajifunze concept and principles hata akija kujiunga NBAA for CPA iwe rahisi kwa sababu aliyasoma mambo na kuyaelewa... hope hapo umenipata

Poa jomba September nakuja kujiandikisha nbaa nasikia system imechange ila ntakomaa tu nshachoka kuwa cashier mie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…