Msaada kwa Godzilla, ana hali mbaya

mr gentleman

JF-Expert Member
Joined
Aug 1, 2012
Posts
3,222
Reaction score
4,689
Msanii Godzilla anapitia kipindi kigumu sana baada ya kuachana na mpenzi wake Doreen.

Kwa sasa Zilla amekuwa haeleweki anaongea nini na muda mwingi amekuwa anaongea mwenyewe na au kujifungia ndani.

Ni dhahiri penzi la Doreen bado analiitaji na anapata mateso mazito sana kuwa na maisha bila Doreen.

Yeyote anaeweza msaidia huyu mnyamwezi atoe msaada haswa wa kisaikolojia. Kazi ya muziki imekuwa haiendi kwa kifupi amedata.

Note: Wanaume mapenzi hayana ubaunsa wala ubabe. Ukishikwa kubali umeshikwa la sivyo utapata shida sana.





 
Haa haa kupenda kaz

Nafkir doreen a.k.a d end
Anawakat mgumu sana
Pale clouds ule utan wa
Mchovu spart pc vle
Anauvumilia
 
Kumbe mapenzi hayana ugumu.

Na mwanaume akiachwa na kuteseka kwenye mapenz anakuaga kama chizi.
Ukipenda hakuna cha mwanaume
Wala mwanamke choz ltatoka tu
 
Ndio kukua huko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…