PAGAN
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 12,181
- 20,148
Mwenye picha ya huyo Doreen aweke hapa ili tuone GODZILLA anaumia kiasi gani, usije kuta ni ukata sio demu
Yuko kama huyo wa kwenye Avatar yako.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwenye picha ya huyo Doreen aweke hapa ili tuone GODZILLA anaumia kiasi gani, usije kuta ni ukata sio demu
Hivi sio mzuri??Atleast demu mwenyewe angekuwa mzuri
Daaah noma hii sasaHuyo anawakilisha wanaume wa Dar pia.
Ila kakuzd ustaambona dem mwenyewe wakawaida sana,Hata magotini hanifikii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]....
hivi huyo zilla hajui kuwa hamuwezi kuishi milele
Kumbe wa mkoani??Afande sele msaidie ndg yako wa moro town
Mkuu unamaanisha 50 akipigwa chni na demu huwa haoni shida ku move on ?Huyu jamaa si anamuigaga 0 cent kwnye kila kitu?? mbona amekuwa dissolver kilaini laini ivyo kwa sababu ya vipapuchi tuu!!!!
Kumbe ni zilla mwenyewe alianza kuzingua.mshenzi acha achanganyikiwe dada wa watu alimpenda akajifanya playboy akaleta ujinga acha aisome namba Doreen usigeuke nyuma kwa uyu
Ebu fafanua argument yako mkuu, wengine tupo kwnye process za kuacha.Kuachwa ni bora kuliko kuacha,,,wanaoacha weng hua wanafeli tofauti na anaeachwa