msaada kwa hili jamani maana sijui mwaka ujao ntaweza tena

msaada kwa hili jamani maana sijui mwaka ujao ntaweza tena

Nyigana

Senior Member
Joined
May 5, 2012
Posts
105
Reaction score
12
haya majina ambayo wametoa bodi ni kwa wanaoanza mwaka au ni kwa wote hata ambao mwaka jana walikosa na kutuma tena mwaka huu kwa sababu mimi mwaka jana mimi nilikosa kwa sababu kuna vielelezo vilikosa kweye fomu ya kuombea mkopo sasa naingia mwaka wa pili lakini siwezi tena kulipia naomba nijue kama ni kwa mwaka wa kwanza tu au ni wote hata tuliokosa mkopo mwaka jana
 
Back
Top Bottom