mountana Member Joined Sep 24, 2012 Posts 40 Reaction score 6 Oct 4, 2012 #1 msaada kwa hili la mkp kwa wanafunzi wanaoendelea ambao mwaka jana walikosa ndo wamepigwa chn au?
B Babu mchumi Member Joined Jul 5, 2011 Posts 62 Reaction score 11 Oct 5, 2012 #2 nimesikia sikia wiki ijayo kuna majina yataaachiwa,ngoja tusikilizie tuone!!
A Awadh Mabaraza Member Joined Aug 7, 2012 Posts 66 Reaction score 3 Oct 5, 2012 #3 Wezi 2 wale jamaa kwan nina hamu nae!
mountana Member Joined Sep 24, 2012 Posts 40 Reaction score 6 Oct 7, 2012 Thread starter #4 aya bwana wasije wakawa wamekula buku 30 za wa2 bure 2xubir 2one
K kehesa maro Member Joined Oct 5, 2012 Posts 42 Reaction score 3 Oct 8, 2012 #5 nachojua hili suala nilisikia lazima majina yapelekwe vyuon kwa uhakiki ndio yatolewe,ila vyuo vimechelewa kulfanyiakaz
nachojua hili suala nilisikia lazima majina yapelekwe vyuon kwa uhakiki ndio yatolewe,ila vyuo vimechelewa kulfanyiakaz
C chalema06 Member Joined Aug 12, 2012 Posts 29 Reaction score 8 Oct 8, 2012 #6 jaman hawa wana2zingua, ani cjui hata kama wata2pa hawa coz wapo kimyaa tuu hawa2p info yoyote.
Wi-Fi JF-Expert Member Joined Aug 30, 2011 Posts 2,091 Reaction score 1,381 Oct 8, 2012 #7 mountana said: msaada kwa hili la mkp kwa wanafunzi wanaoendelea ambao mwaka jana walikosa ndo wamepigwa chn au? Click to expand... ukiwa huku JF andika herufi zote usomeke vizuri na watu wote, huenda mwenye kujua hajakuelewa unaulizia nini! ni mtazamo tu..
mountana said: msaada kwa hili la mkp kwa wanafunzi wanaoendelea ambao mwaka jana walikosa ndo wamepigwa chn au? Click to expand... ukiwa huku JF andika herufi zote usomeke vizuri na watu wote, huenda mwenye kujua hajakuelewa unaulizia nini! ni mtazamo tu..
paul kitereja JF-Expert Member Joined Jun 15, 2012 Posts 260 Reaction score 45 Oct 9, 2012 #8 loan board ni wezi a.k.a mafisadi!!
Simolunda JF-Expert Member Joined Sep 9, 2011 Posts 453 Reaction score 81 Oct 9, 2012 #9 Jaman tusubilie tuwe na uvumilivu kama tulivyo vumilia kuishi mwaka wa kwanza bila boom.wata leta tu haki ya mtu haipotei
Jaman tusubilie tuwe na uvumilivu kama tulivyo vumilia kuishi mwaka wa kwanza bila boom.wata leta tu haki ya mtu haipotei
BUMIJA JF-Expert Member Joined Oct 19, 2011 Posts 5,950 Reaction score 11,295 Oct 10, 2012 #10 My God help you;;;;;Im Sad