msaada kwa hili la mkp kwa wanafunzi wanaoendelea ambao mwaka jana walikosa ndo wamepigwa chn au?

msaada kwa hili la mkp kwa wanafunzi wanaoendelea ambao mwaka jana walikosa ndo wamepigwa chn au?

mountana

Member
Joined
Sep 24, 2012
Posts
40
Reaction score
6
msaada kwa hili la mkp kwa wanafunzi wanaoendelea ambao mwaka jana walikosa ndo wamepigwa chn au?
 
aya bwana wasije wakawa wamekula buku 30 za wa2 bure 2xubir 2one
 
nachojua hili suala nilisikia lazima majina yapelekwe vyuon kwa uhakiki ndio yatolewe,ila vyuo vimechelewa kulfanyiakaz
 
jaman hawa wana2zingua, ani cjui hata kama wata2pa hawa coz wapo kimyaa tuu hawa2p info yoyote.
 
msaada kwa hili la mkp kwa wanafunzi wanaoendelea ambao mwaka jana walikosa ndo wamepigwa chn au?

ukiwa huku JF andika herufi zote usomeke vizuri na watu wote, huenda mwenye kujua hajakuelewa unaulizia nini! ni mtazamo tu..
 
Jaman tusubilie tuwe na uvumilivu kama tulivyo vumilia kuishi mwaka wa kwanza bila boom.wata leta tu haki ya mtu haipotei
 
Back
Top Bottom