Msaada kwa hili wakuu..!!!

donlucchese

JF-Expert Member
Joined
Mar 23, 2011
Posts
17,128
Reaction score
21,885
Salaam,
Wakuu tatizo linalonisumbua ni kwamba kutokana na joto kuongezeka hapa dar, ninapata michubuko kwenye mapaja, sasa wakati wa jua kali kwa kweli hata kutembea kwa raha huwezi kwan napata maumivu (agony) yanayonikera sana. Hata kutembea kwa mwendo wa kawaida siwezi inabidi nifanye kama kujivuta flani kusudi niepuke friction between my legs. Nifanye nini wakuu?
 
i had that zamani...sijui inasababishwa na nini hata ila I thnk uzito unachangia,mi nilikuwa navaaga skin tight ila za material nzuri na pia ukipakaa powder unajickia afadhali,inahitaji usafi ila itakuja kuisha tu,u wont feel the friction tena...its a passage tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…