donlucchese
JF-Expert Member
- Mar 23, 2011
- 17,128
- 21,885
Salaam,
Wakuu tatizo linalonisumbua ni kwamba kutokana na joto kuongezeka hapa dar, ninapata michubuko kwenye mapaja, sasa wakati wa jua kali kwa kweli hata kutembea kwa raha huwezi kwan napata maumivu (agony) yanayonikera sana. Hata kutembea kwa mwendo wa kawaida siwezi inabidi nifanye kama kujivuta flani kusudi niepuke friction between my legs. Nifanye nini wakuu?