siku hizi umenitenga sana. kwanini unanifanyia hivyo jamani!!??. mia
basi poa. nakutakia ukada mwema. :welcome:miaKukutenga hiyo haipo kabisa mzee wa mia;Niko bize kuelezea sera za CCM.
basi poa. nakutakia ukada mwema. :welcome:mia
Karibu sana mia;
Vijana kama wewe unahitajika sana
hasa kwa wakati kama huu wa kukijenga chama mia.
figganigga alikwambia au nawe ulishamnunuliaKipindi kile kabla hajaolewa na figganigga najua Heaven on earth alikuwa anapendelea "midiam saiz" nyeupe, kwa sasa sijui kama amebadilisha
figganigga alikwambia au nawe ulishamnunulia
figganigga alikwambia au nawe ulishamnunulia