tatizo litakuwa ni nin na solution ni ?Habari, wataalamu
Kuna rafiki yangu anatatizo linamsumbua. Yani aking'atwa na mbuu anatoka vijipele au kuvimba na akijikuna inatoa kama ngozi, je hili tatizo ni nin??? MziziMkavu na wataalamu wengine saidieni hapa
Habari, wataalamu
Kuna rafiki yangu anatatizo linamsumbua. Yani aking'atwa na mbuu anatoka vijipele au kuvimba na akijikuna inatoa kama ngozi, je hili tatizo ni nin??? MziziMkavu na wataalamu wengine saidieni hapa
Angelikwenda Hospitali ili aonane na Mtalaam wa Maradhi ya ngozi ana matatizo ya ngozi ninakupa huo ushauri akapime ili tupate kujuwe ni kwa sababu gani ngozi yake inabadilika kila anapo ng'atwa na mdudu Mbu ? Mpe pole zangu.tatizo litakuwa ni nin na solution ni ?