Msaada kwa hili

Msaada kwa hili

20PROFF

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2013
Posts
8,186
Reaction score
7,184
Habari, wataalamu

Kuna rafiki yangu anatatizo linamsumbua. Yani aking'atwa na mbuu anatoka vijipele au kuvimba na akijikuna inatoa kama ngozi, je hili tatizo ni nin??? MziziMkavu na wataalamu wengine saidieni hapa
 
Attachments

  • 1414482222086.jpg
    1414482222086.jpg
    68.5 KB · Views: 82
Last edited by a moderator:
Habari, wataalamu

Kuna rafiki yangu anatatizo linamsumbua. Yani aking'atwa na mbuu anatoka vijipele au kuvimba na akijikuna inatoa kama ngozi, je hili tatizo ni nin??? MziziMkavu na wataalamu wengine saidieni hapa
tatizo litakuwa ni nin na solution ni ?
 
Attachments

  • 1414482505143.jpg
    1414482505143.jpg
    71.9 KB · Views: 65
Last edited by a moderator:
Habari, wataalamu

Kuna rafiki yangu anatatizo linamsumbua. Yani aking'atwa na mbuu anatoka vijipele au kuvimba na akijikuna inatoa kama ngozi, je hili tatizo ni nin??? MziziMkavu na wataalamu wengine saidieni hapa

tatizo litakuwa ni nin na solution ni ?
Angelikwenda Hospitali ili aonane na Mtalaam wa Maradhi ya ngozi ana matatizo ya ngozi ninakupa huo ushauri akapime ili tupate kujuwe ni kwa sababu gani ngozi yake inabadilika kila anapo ng'atwa na mdudu Mbu ? Mpe pole zangu.
 
Back
Top Bottom