Msaada kwa hizi vipele

Msaada kwa hizi vipele

A.J

Senior Member
Joined
Jun 9, 2015
Posts
140
Reaction score
147
Msaada wenu tafadhali, nina vipele flan vidogo vinauma sana haviwash ila km vna usah kwa ndan na kama vina kidog cheus kidogo katkat(chek kwa attachment)... Vinajitokeza sana sehem za mapajani(kwa wing) kwa makalio na kifuani
naombeni kujua hiv vipele vinasababishwa na nin na nin tiba yake maana ni vinauma na vikiondoka vinaacha makov. Mapaja yana makov ya vipele mpk noma! Nikijua na kitu ya kkuondoa makovu pia itapendeza
IMG_20171019_161426.jpg
IMG_20171019_161448.jpg
 
Hapa ni kwa hospital??? Kuna watu mna utani na afya zenu yaani unaumwa unakaa ndani tuuu wapi mb unapost...Nenda hospital ukachukuliwe vipimo upate matibabu
 
Pole sana mkuu, ebu ngoja wajuzi wakuje.
Naomba kuuliza......
Hiyo picha ni paja, kifua au kalio?
 
Back
Top Bottom