Msaada kwa huyu mtoto

Msaada kwa huyu mtoto

hips.com

JF-Expert Member
Joined
Mar 11, 2014
Posts
344
Reaction score
91
Mwanangu anamiaka 2 nikimchapa au akikasirika akalia lazma atapike hata kama alikula Massa 6 yaliopita.sasa sijajua ni tatizo.hasira au nyongo imechafuka
 
Akitapika mcharaze tena.

hahaha umenikumbusha mama yangu. Alikuwa anasema ukijitapisha utalamba matapishi hadi yaishe. Weeh, heshima mkononi.
 
Yani nikimcharaza zaidi anatapika mpaka kitumbua alichokula asubuh japo japo saiyo ni usiku
 
Hivi ni kwanini unampiga mtoto mdogo wa mika 2 tu??
unamjengea kiburi na usugu
kumbuka kumpata mtoto ni kazi ngumu
kulea ndiko kunakowashinda wengi
watoto hawapigwi km watafuata malezi ya pamoja kati ya baba na mama
Stress za mzazi hasa Single ndio zinazowasababishia hasira na kuapiga watoto
ukishindwa kabisa mpeleke kwenye vituo vya Chekechea asubuhi na ukamchukue saa 10 huko utashangaakwani atajumuika na wenzake ambao huwa hawapigwi na hatakuwa sugu
Mtoto ana akili sawa na mtu mzima na unaambiwa anaufahamu tangu akiwa tumboni
ana ufahamu hata akinyonya
akianza kutambaa na hata kutembea
ingia Google na tafuta vitu hivi mm sikupendezewa na upigaji wa watoto lkn pata hii kiduchu
Nausea and Vomiting Causes, Treatment and Prevention of Nausea and Vomiting
The causes of vomiting differ according to age. For children, it is common for vomiting to occur from a viral infection, food poisoning, milk allergy, motion sickness, overeating or feeding, coughing, or blocked intestines and illnesses in which the child has a high fever.
The timing of the nausea or vomiting can indicate the cause. When appearing shortly after a meal, nausea or vomiting may be caused by food poisoning, gastritis (inflammation of the stomach lining), an ulcer, or bulimia. Nausea or vomiting one to eight hours after a meal may also indicate food poisoning. However, certain food borne bacteria, such as salmonella, can take longer to produce symptoms.

Kama ataendelea kutapika akikasirika basi umuone Dr huenda ni nyongo au muscle za mbavu

[h=3]Phases[/h] The vomiting act has two phases. In the retching phase, the abdominal muscles undergo a few rounds of coordinated contractions together with the diaphragm and the muscles used in respiratory inspiration.
 
Mi kuna mtt wa kakaangu alikua ivoivo akilia sn mwisho anatapika.
Basi alikua anaogopa mashine ya nywele, na alikua akipelekwa kukatwa nywele ilikua lazima achukuliwe nguo za akiba mana ikiwashwa mashine tu kuanza kunyolewa hulia mpk akatapika
 
Mi kuna mtt wa kakaangu alikua ivoivo akilia sn mwisho anatapika.
Basi alikua anaogopa mashine ya nywele, na alikua akipelekwa kukatwa nywele ilikua lazima achukuliwe nguo za akiba mana ikiwashwa mashine tu kuanza kunyolewa hulia mpk akatapika

Aliponaje sasa nisaidieni
 
Back
Top Bottom