Mbota Matari
Member
- Dec 25, 2018
- 29
- 24
Habari za wakati ndugu zangu waungwana,
Naitwa Mbota Matari, nilihitimu kidato cha sita miaka michache nyuma, kwasababu kadhaa kwa wakati huo sikuweza kwenda JKT- kwa mujibu wa Sheria.
Kwasasa ninatamani kwenda kupata mafunzo hayo kwani ni muhimu ili niweze kuweka mazingira mazuri ya kozi yangu ya History and Political Science Chuo Kikuu.
Hivyo naomba muongozo kwa yeyote awaye na taarifa za namna ya kujiunga JKT kwa mtu ambaye alishamaliza kidato cha sita.
Natanguliza shukrani za dhati kwa ushirikiano wenu.
Ahsanteni.